Monday 3 August 2015



Flora Fashion & Tailoring tunatoa huduma za ushonaji wa nguo tofauti tofauti na tuna shona kwa umalidadi wa hali ya juu sana na tuna shona kwa wakati. tunao mafundi wakutosha hata ukija na vitambaa/vitenge vitano au kumi nguo zako utazipata siku iyo iyo. Tupo mwenge Opposite TRA ,Dar es salaam. Kwa maelezo zaidi tupigie : 0717 124343.

Karibu ufurahie Huduma zetu.

No comments:

Post a Comment