Thursday 10 September 2015
Tunashona Nguo Kwa Umalidadi wa hali ya juu , kwa wakati na kwa bei
nafuu sana .tunashona kwa masaa 10 tu ,lete nguo yako mapema utaipata
siku iyo iyo,Tuna mafundi wakutosha na waliobobea sana.Tupo Mwenge
Opposite TRA ,Dar es salaam.Tupigie Kwa maelezo zaidi
:0717 124343.Karibuni mpate huduma zetu nzuri.
:0717 124343.Karibuni mpate huduma zetu nzuri.
Monday 3 August 2015
Flora Fashion & Tailoring tunatoa huduma za ushonaji wa nguo tofauti tofauti na tuna shona kwa umalidadi wa hali ya juu sana na tuna shona kwa wakati. tunao mafundi wakutosha hata ukija na vitambaa/vitenge vitano au kumi nguo zako utazipata siku iyo iyo. Tupo mwenge Opposite TRA ,Dar es salaam. Kwa maelezo zaidi tupigie : 0717 124343.
Karibu ufurahie Huduma zetu.
Subscribe to:
Posts (Atom)